Baada ya madhila Libya, mkimbizi kutoka Sudan apata kimbilio Rwanda
Takriban wakimbizi 2,500 na wasaka hifadhi wanashikiliwa katika vizuizi nchini Libya kwa mujibu wa shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi UNHCR na Muungano wa Afrika AU.