Mnufaika wa mpango wa UNHCR asimulia safari yake kutoka DRC, Tanzania hadi Marekani
Katika mwendelezo wetu wa kupitia taarifa ambazo zilikuwa na uzito wa juu kwa mwaka huu wa 2018, tunakurejesha kwa Lubunga Mwendanababo, mkimbizi kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC ambaye baada ya kuishi ukimbizi Tanzania, sasa amepata uraia wa Marekani ikiwa ni manufaa y