UNDP na mpango wa kutokomeza vikundi vyenya misismao mikali
Makundi yenye msimamo mkali na ugaidi ni tishio kubwa kwa amani na usalama duniani. Nchi na mashirika mbalimbali yanasaka suluhu ya kimataifa kwa janga hili linalokuwa kwa kasi na kuathiri jamii katika nyanja mbalimbali ikiwamo kijamii, kiuchumi na hata kiutamaduni.]