Tusiwasahau wakimbizi wa Congo na shida wanazopitia UNHCR/ CHRISTINA
Msanii mashuhuri wa Ufaransa Christine pamoja na kundi lake the Queens wametoa wito kwa mashirika ya kibinadamu na wahisani kutopuuzia suala la machafuko yanayoendelea Jamhuri ya kidemokrasia ya Kongo DRC na kusababisha wimbi kubwa la wakimbizi wanaofungasha virago k