Utapiamlo huigharimu Pakistan dola bilioni 7.6 kila mwaka: WFP
Madhara ya utapiamlo ikiwa ni pamoja na gharama za juu za matibabu huigharimu Pakistan dola bilioni 7.6 sawa na asilimia tatu ya pato la taifa kila mwaka, imesema ripoti ya shirikal a mpango wa chakula duniani WFP.