Machafuko mapya Sudan Kusini yanaongeza mateso kwa raia – UM
Umoja wa Mataifa umeeleza kusikitishwa na kuongezeka kwa machafuko na mateso kwa raia wa Sudan Kusini, kufuatia operesheni ya hivi karibuni ya jeshi serikali ya nchi hiyo.
Umoja wa Mataifa umeeleza kusikitishwa na kuongezeka kwa machafuko na mateso kwa raia wa Sudan Kusini, kufuatia operesheni ya hivi karibuni ya jeshi serikali ya nchi hiyo.
saharamagharibiwikendiUmoja wa Mataifa umekaribisha kujiondoa kwa wafuasi wa kundi la Frente Polisario kutoka eneo la Guerguerat kule Sahara Magha
Ofisi ya Umoja wa Mataifa inayohusika na kuzuia mauaji ya kimbari na wajibu wa kulinda, imekuwa na mjadala leo na nchi wanachama kuhusu suala hilo, kama sehemu ya maandalizi ya ripoti ya Katibu Mkuu kuhusu wajibu wa kulinda.
Shirika la kimataifa la uhamiaji IOM , Ijumaa limewasaidia wahamiaji 253 wa Nigeria waliokuwa wamekwama nchini Libya , kurejea nyumbani.
Licha ya kutokuwepo na hali ya hewa ya El Niño hadi sasa mwaka huu , kuna uwezekano mkubwa wa zaidi ya asilimia 50 hali hiyo itajitokeza katika nusu ya pili ya mwaka huu wa 2017.
Aprili 26 ni siku ya hatimiliki duniani ambako katika kuadhimisha siku hii Mkurugenzi mkuu wa shirika la kimataifa la hatimiliki, WIPO, Francis Gurry amesema, hatimiliki ni sehemu muhimu ya sekta ya ubunifu na ina faida kwa wale wanaochukua fursa ya kuzindua bidhaa mpya na huduma katika uch
Miaka 10 ya tamko la Umoja wa Mataifa kuhusu hakiza jamii za watu wa asili zimeionyesha mafanikii makubwa ikiwamo nchi za Afrika kuridhia tamko hilio na hata kuanza kutumika katika ngazi ya mahakama, amesema Dk Elifuraha Laltaika, mtaalamu huru wa Jukwaa la kudumu la Umoja wa Mataifa kuhusu jamii
Shirika la Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO), limekuwa likiendesha kampeni inayolenga kuwajumuisha vijana katika kulinda na kutunza maeneo ya urithi wa dunia.
Wiki hii tunaangazia neno “Sakarani” na mchambuzi wetu ni Onni Sigalla, Mhariri Mwandamizi, katika Baraza la Kiswahili la Taifa, BAKITA, nchini Tanzania.
Jambo kubwa la kujivunia nchini Kenya ni katiba ya nchi kutambua jamii asilia hatua inayosaidia ujumuishwaji amesema Daniel ole Sapit Mkurugenzi Mkuu wa IP Hub Africa, shirika lililojikita katika kutoa taarifa za jamii asilia mashinani.