WFP kukata mgao wa chakula kwa wakimbizi 420,000 Dadaab na Kakuma kenya
Shirika la mpango wa chakula la Umoja wa Mataifa WPF, litapunguza kwa asilimia 30 mgao wa chakula kwa wakimbizi 420,000 walio kwenye kambi za Daadab na Kakuma nchini Kenya. Selina Jerobon na taarifa kamili
(TAARIFA YA SELINA)