Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

UN News

Makala Maalum

Masuala ya UM Je, itachukua nini kwa Palestina kuwa Nchi Mwanachama kamili wa Umoja wa Mataifa? Wakati Baraza la Usalama linashughulikia suala hilo wakati vita vya uharibifu huko Gaza vikiingia mwezi wake wa saba, tuliangalia hali ya sasa ya Palestina na kile kinachohitajika kuwa Nchi Mwanachama wa Umoja wa Mataifa.

Habari Nyinginezo

Afya Leo ni siku ya Malaria duniani ambapo mwaka huu inahamasisha kuongeza mapambano dhidi ya ugonjwa huu ili kuwa na ulimwengu wenye usawa zaidi kwani imebainika kuwa watu wanaoishi katika mazingira magumu ndio wanaoathirika zaidi. 
Msaada wa Kibinadamu Jumuiya ya kimataifa ina jukumu na wajibu wa kufanya kazi kufanikisha kukwamuka kwa Gaza lakini hatuwezi kuwaambia raia wasubiri, amesema afisa wa  Umoja wa Mataifa anayehusika na ufikishaji wa misaada kwenye eneo hilo lililozingirwa na Israel.