Ugonjwa wa kifua kikuu, changamoto na tiba
Kifua kikuu au TB!Gonjwa lililoorodheshwa na shirika la afya ulimwengni WHO kuwa miongoni mwa magonjwa 10 yanayoongoza kwa kusababisha vifo duniani.
Kifua kikuu au TB!Gonjwa lililoorodheshwa na shirika la afya ulimwengni WHO kuwa miongoni mwa magonjwa 10 yanayoongoza kwa kusababisha vifo duniani.
Waziri wa mambo ya nje wa Kenya Bi Amina Mohamed Ijumaa ametangaza kwamba miili ya wahudumu wa misaada watatu kutoka Kenya waliouawa mwishoni wa wiki iliyopita nchini Sudan kusini itasafirishwa kesho Jumamosi kutoka Juba na kurejeshwa nyumbani Kenya.
Nchini Yemen, mapigano yaliyoanza miaka miwili iliyopita, yamekuwa mwiba siyo tu kwa raia bali pia kwa wale wanaotumia nchi hiyo kama njia ya kupitia kuvuka ghuba ya Aden na bahari ya Sham kwenda nchi nyingine.
Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limepitisha kwa kauli moja azimio linaloongeza muda wa ujumbe wa umoja huo nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC, MONUSCO hadi tarehe 31 mwezi Machi mwakani.
Katibu Mkuu wa Umoja wa mataifa Antonio Guterres amesema amesikitishwa na kutiwa shaka na uamuzi wa Israel wa kujenga makazi mpaya ya Walowezi kwenye eneo linalokaliwa la Wapalestina.
Kwa kuzingatia haki za msingi za binadamu kwa watu wenye usonji, dunia inaishi kizani , kwa mujibu wa mtaalamu wa masuala ya usonji.
Waziri wa mambo ya nje na ushirikiano wa Afrika ya Mashariki wa Tanzania Balozi Augustine Mahiga amesema jumuiya ya kimataifa inapaswa kuhakikisha bajeti kwa ajili ya ujumbe wa Umoja wa Mataifa nchini Jamhuri ya kidemokrasia ya Kongo DRC, MONUSCO inaongezwa ili kuhakikisha uimarishwaji wa a
Shirika la kimataifa la wahamiaji IOM linasema wahamiaji na wakimbizi karibu 700 wamefariki katika kipindi cha miezi mitatu ya mwanzo wa mwaka huu wa 2017 wakati wa safari za kusaka hifadhi sehemu mbalimbali.
Katika neno la wiki hii leo tunaangazia matumizi yasiyo sahihi ya neno Misele Mchambuzi wetu Nuhu Zuberi Bakari, ambaye ni Naibu Mwenyekiti wa masuala ya mawasiliano kwenye Chama cha Kiswahili cha Taifa nchini Kenya, CHAKITA anasema neno misele ni aina ya dawa lakini linatumika k
Umoja wa Mataifa umekaribisha hatua ya Bunge la Somalia kupitisha Baraza la Mawaziri lililoteuliwa na Waziri Mkuu wa nchi hiyo Hassan Ali Khaire mapema mwezi huu.