Wanawake ili tufanikiwe lazima tujitume: Dkt. Elizabeth Kimani
Mkutano wa wanawake katika nyanja ya diplomasia umefanyika wiki hii katika Chuo Kikuu cha Nairobi nchini Kenya. Viongozi wa ofisi za Umoja wa Mataifa jijini Nairobi na Geneva Uswisi wamewasilisha mada mbele ya umati wa watu waliohudhuria mkutano huo wakiwemo Mabalozi wastaafu na wanaotumikia nchi zao hivi sasa nchini Kenya kuhusu nafasi ya Mwanamke katika ddiplomasia na katika kutimiza malengo ya maendeleo endelevu SDGs. Dkt.