Kaya Kigoma wameweza kuinua kipato na pia kutunza mazingira kupitia Mradi wa UNHCR
Nchini Tanzania shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi, UNHCR kwa kushirikiana na wadau wamewezesha kaya zinazopakana na kambi ya wakimbizi ya Nyarugusu mkoani Kigoma kujitengenezea mkaa mbadala na hivyo kusaidia kupunguza uharibifu wa mazingira unaosababishwa na ukataji miti kwa ajil
UN: Kushambuliwa kwa hospitali na kukatwa kwa mawasiliano ni pigo kubwa kwa mfumo wa afya na raia Gaza
Hali ya kibinadamu inazidi kuwa mbayá katika Ukanda wa Gaza Mashariki ya Kati, huku hospitali zilizosalia zikiendelea kushambuliwa na kukatili maisha ya watu na kufungwa kwa mawasiliano ya simu na mtandao wa intanet vikizidisha adha yameonya leo mashirika ya Umoja wa Mataifa.
Siri ya kuwa sehemu ya tuzo hii ni ushirikiano wetu - Fr. Benedict Ayodi
Hii leo kwenye Makao Makuu ya Umoja wa Mataifa kumefanyika hafla la kupatia tuzo washindi wa Tuzo ya Umoja wa Mataifa ya Haki za Binadamu, tuzo inayotolewa kwa mtu mmoja mmoja au kundi kwa kuzingatia mchango wao kwenye kusongesha haki za binadamu.
Ushirikiano wetu ndio siri ya kuwa sehemu ya tuzo hii – Fr. Ayodi
Hii leo kwenye Makao Makuu ya Umoja wa Mataifa kumefanyika hafla la kupatia tuzo washindi wa Tuzo ya Umoja wa Mataifa ya Haki za Binadamu, tuzo inayotolewa kwa mtu mmoja mmoja au kundi kwa kuzingatia mchango wao kwenye kusongesha haki za binadamu.
CHAUKIDU: Ujio wa Tuzo ya Kiswahili ya Mwalimu Nyerere watangazwa
Baada ya Umoja wa Mataifa kupitia shirika lake la Elimu, Sayansi na Utamaduni, UNESCO kuitambua lugha ya Kiswahili kuwa miongoni mwa lugha za kimataifa, sasa Tanzania imetangaza kwamba kwa kushirikiana na nchi nyingine wataanza kutoa Tuzo za Kimataifa za Kiswahili.
UNEP/WHO: Afya na mazingira ni lila la fila havitengamani
Mashirika ya umoja wa Mataifa lile mazingira duniani UNEP na lile la afya WHO nchini Kenya yamehimiza umuhimu wa kuhakikisha mazingira safi kwa ajili ya afya bora katika kampeni maalum iliyofanyika jana Alhamisi walipowaalika wanaridha kadhaa wa Kenya kwenye ofisi za Umoja wa mataifa jijini Nairo
METHALI: MSASI HAOGOPI MIIBA
Katika kujifunza lugha ya Kiswahili hii leo mtaalamu wetu Nicholus Makanji, Mhadhiri katika chuo Kikuu cha Zetech Limuru Kenya anatufafanulia maana ya methali MSASI HAOGOPI MIIBA.