Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Kabrasha la Sauti

19 DESEMBA 2022

Hii leo jaridani tunakuletea habari kutoka mkutano wa COP 15, na nchini Tanzania, makala tunasalia nchini humo mkoani Morogoro na mashinani tunakuletea ujumbe kuhusu bayoanuai. 1. Ikiwa leo ni tamati ya mkutano wa 15 wa nchi wanachama wa mkataba wa kimataifa kuhusu bayonuai, COP15, huko Montréal, C
Sauti
14'39"