Pombe zilizoongezwa nguvu Bukavu zachochea ukatili wa kingono jimboni Kivu Kusini
Nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC, vitendo vya ukatili wa kingono hususan ukatili majumbani huko DRC ukitambulika kama ujeuri wa kijinsia vimekuwa mwiba kwa maendeleo ya jamii,hususan wanawake, wasichana na watoto.