Tshisekedi asema atakuwa rais wa wote DRC
Kufuatia kutangazwa kwa matokeo ya uchaguzi wa urais nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC ambapo Felix Tshisekedi ameibuka mshindi, Katibu Mkuu wa umoja wa Mataifa amepongeza wananchi wa DRC na Tume ya huru ya taifa ya uchaguzi kwa mwenendo mzima wa uchaguzi.