Upungufu wa wafanyakazi sekta ya afya ni dhahiri, tumechukua hatua:Tanzania
Ripoti mpya ya shirika la afya duniani WHO inasema dunia itakuwa na upungufu wa wafanyakazi milioni 12.9 katika sekta ya afya ifikapo mwaka 2035, huku kwa sasa upungufu huo ni milioni 7.2, .