UNICEF yapania kutokomeza ukatili wa ngono Mali
Taifa la Mali limekuwa katika mzozo wa kisiasa muda mrefu ambapo mapigano kati ya waasi na vikosi vya serikali yamesababisha mateso kwa wananchi wa taifa hilo .
Taifa la Mali limekuwa katika mzozo wa kisiasa muda mrefu ambapo mapigano kati ya waasi na vikosi vya serikali yamesababisha mateso kwa wananchi wa taifa hilo .
Kufuatia majadiliano ya kina ili kuruhusu kulifikia eneo lilioloathiriwa na vita jimboni Jonglei kusini kwa Sudan, mashirika ya misaada sasa yanaweza kufika eneo liitwalo Pibor ambapo mapigano kati ya jeshi la serikali na vikosi binafsi vyenye silaha, na mapigano ya kikabila yaliyozuka upya yamea
Ufunguzi rasmi wa ofisi inayojulikana kama InZone yenye madhumuni ya kufundisha tafsiri ya lugha mbali mbali barani Afrika umefanyika katika makao makuu ya Umoja wa Mataifa mjini Nairobi, Kenya.
Mapema wiki hii wajumbe wa bodi ya ukaguzi wa Umoja wa Mataifa walikutana mjini New York Marekani ambapo pamoja na mambo mengine walitia saini ripoti za ukaguzi wa mashirika ya Umoja wa Mataifa kwa mwaka wa fedha 2012.
Mapema mwaka huu visiwa vya Marshall huko kwenye bahari ya Pasifiki vilikumbwa na ukame mkubwa na kusababisha watu kutafuta mbinu mbadala za kupata chakula.
Shirika la Un foundation wiki iliyopita liliandaa mkutano uliojadili tathmini ya utekelezaji wa maendeleo ya milenia pamoja na nini kifanyike baada ya ukomo wake mwaka 2015.
Katika kuadhimisha Siku ya Malala Duniani kwa mara ya kwanza mnamo tarehe 12 Julai, vijana mia moja kutoka kote duniani wamekusanyika kwenye Umoja wa Mataifa na kulitwaa jukwaa la ukumbi wa Baraza la Usalama.
Watoto wa kike wamekuwa wakinyimwa fursa za elimu sehemu mbalimbali duniani kutokana na sababu nyingi mojawapo ikiwa ni utamaduni na umaskini .
Dunia ikiwa inaadhimisha siku ya idadi ya watu leo huku ujumbe wa maadhimisho hayo kwa mwaka huu ukiwa ni kutokomeza mimba za mapema , mfuko wa Umoja wa Mataifa wa idadi ya watu UNFPA ndiyo wenye dhamana ya kuhakikisha ujumbe huo unawafikia walengwa na kutekelezwa kikamilifu.
Mkurugenzi Mkuu wa shirika la Umoja wa matifa la wakimbizi UNHCR Antonio Guterres yuko nchini Kenya ambapo pamoja na mambo mengine amefanya mazungumzo na maafisa wa serikali ya nchi hiyo kuhusu namna ya kuwezesha kuwarejesha makwao kwa hiari wakimbizi wa Somalia walioko Kenya kufuatia kile alicho