IOM kutoa mafunzo kwa wahamiaji wa Afrika walioko ughaibuni
Shirika la kimataifa la uhamiaji IOM, liko katika mpango maalum unaolenga kutoa mafunzo kwa wahamiaji wa Afrika wanaoishi ughaibuni ili wasaidie maendeleo katika nchi zao kulingana na ujuzi walionao.
Ugonjwa wa Malaria bado ni tatizo nchini Burundi
Wakati siku ya Malaria duniani ikiangaziwa tarehe 25 Aprili na ujumbe Wekeza kwa baadaye tokomeza Malia, nchini Burundi takwimu zinayonesha kuwa asilimia 21 ya wananchi husumbuliwa na maradhi hayo. Ugonjwa huo umekuwa tatizo la kwanza la afya.
Wanawake DRC waandamana kupinga kikosi cha waasi
Wiki hii nchini Jamhuri ya Kidemkrasia ya Kongo DRC Kumeshuhudiwa maandamano ya wanawake wakipaza sauti zao kwa jumuiya ya kimataifa hususani ni Shirika la Umoja wa Mataifa la wakimbizi UNHCR juu ya hofu ya kufuatia uwepo wa kikosi cha waasi wa ukombozi Rwanda FDRL nchini mwao.
Wakimbizi wa CAR wakimbilia nchi ya DRC
Huku kukiwa na taarifa za kuendelea kwa mapigano ndani ya Jamhuri ya Afrika ya Kati ,katika mji mkuu Bangui maelfu ya raia wa nchi hiyo wanakimbia ili kutafuta hifadhi na......................
Hali ya usalama yarejea Mogadishu: Mahiga
Hali ya usalama imeripotiwa kurejea mjiniMogadishu, nchiniSomalia, siku tatu baada ya mashambulizi ya kushtukiza mjini humo yaliyosababisha vifo vya makumi kadhaa ya watu na wengine kujeruhiwa.
Mahitaji yameongezeka nchini Chad:IOM
Shirika la Kimataifa la Uhamiaji, IOM limesema idadi kubwa ya wahamiaji na wakimbizi wanaomiminika nchini Chad wamesababisha ongezeko la mahitaji ya kibinadamu ambayo nchi hiyo hiyo pekee haiwezi kutosheleza, na hivyo kuomba ufadhili wa haraka ili kuwanusuru.
Adha za wakimbizi wa Syria zamulikwa
Wakuu wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa, jana kwa pamoja wamezipazia sauti pande zote katika mzozo wa Syria na serikali zenye ushawishi zifanye kila ziwezalo kuwaokoa watu wa Syria kutokana na watu wa Syria na ukanda mzima kutokana na baa la vita.
Mashambulio mjini Mogadishu hayatukatishi tamaa: Balozi Mahiga
Siku ya Jumapili ilikuwa ya giza nene hukoMogadishu,Somalia baada ya kuwepo kwa mfululizo wa mashambulio ya mabomu wakati huu ambapo serikali ya nchi hiyo inaendelea kushirikiana na wadau mbali mbali kuimarisha usalama ili shughuli za maendeleo ziweze kufanyika.
Wahamiaji wa Tawerika Libya wapata afueni kwa msaada wa IOM
Miaka miwili bada ya mapigano yalioikumba Libya, baadhi ya raia wa nchi hiyo, wamegeuka wahamiaji katika nchi yao kutokana na chuki za kisiasa.
Pagination
- 1
- 2