UNICEF yakomboa shule ziliizoteketezwa na kimbunga Madagascar
MADAGASCAR! Kisiwa ndani ya bahari ya HINDI kilichoko Kusini Mashariki mwa Afrika chenye idadi ya watu zaidi ya milioni 22.
Kisiwa hiki kimekuwa kikikumbwa na vimbunga mara kadhaa! Vimbunga hivi vimekuwa vikiathiri sekta mbalimbali za kiuchumi na kijamii.