Biashara haramu ya tumbaku yaanza kubanwa
Hatimaye itifaki ya kutokomeza biashara haramu ya bidhaa za Tumbaku imeanza kutiwa saini na hivyo kuonyesha utashi wa kisiasa wa nchi wanachama wa mkataba wa kimataifa wa kudhibiti matumizi ya tumbaku.

Mwezi huu wa januari kumeshuhudiwa kuanza kurejea kwa wakimbizi wa Somalia nchini mwao.
Kilimo bora kinahitaji pia uwepo wa ardhi yenye rutuba. Nchi Gambia kama ilivyo katika nchi nyingi za Afrika tunaelezwa kuwa ardhi yenye rutuba hutumiwa zaidi na wanaume na wanawake hubakia pembezoni kwenye ardhi iliyochoka na hivyo hata kwa jitihada gani matunda ya kazi ni nadra kuonekana.