Neno la Wiki-"Umekula ng'ombe mzima unashindwa na mkia?
Leo katika kujifunza Kiswahili ltunaye Mwenyekiti wa idara za Kiswahili katika vyuo vikuu Afrika Mashariki Aida Mutenyo akiwa Kampala Uganda anatufafanulia maana ya msemo "Umekula ng'ombe mzima unashindwa na mkia?