Umejigeuza Pweza Kujipalia makaa
Karibu kujifunza lugha ya Kiswahili ambapo Dkt. Mwanahija Ali Juma, Katibu Mtendaji wa Baraza la Kiswahili Zanzibar, BAKIZA anafafanua maana ya methali Umejigeuza Pweza kujipalia makaa.
Karibu kujifunza lugha ya Kiswahili ambapo Dkt. Mwanahija Ali Juma, Katibu Mtendaji wa Baraza la Kiswahili Zanzibar, BAKIZA anafafanua maana ya methali Umejigeuza Pweza kujipalia makaa.
Hii leo mchambuzi wetu ni Onni Sigalla,Mhariri Mwandamizi wa Baraza la Kiswahili la Taifa nchini Tanzania ,BAKITA akifafanua maana ya neno, Nyunyuta. Anahusisha neno hili na unyeshaji wa mvua. Ikiwa ni mvua ya manyunyu unasema, mvua nyunyuta. Karibu!
Leo katika kujifunza kiswahili tutasikia kutoka kwa mchambuzi wetu Josephat Gitonga, kutoka Kenya ambaye ni mhadhiri katika Chuo Kikuu cha Nairobi kwenye kituo cha tafsiri na ukalimani anatufafanulia methali "SHIMO LA ULIMI MDOMO HAUFUNIKI”
Katika kujifunza Kiswahili leo kutoka Baraza la Kiswahili Zanzibar, BAKIZA, Katibu Mtendaji Dkt. Mwanahija Ali Juma anafafanua maana ya methali Mnyamaa kadumbu!