JIFUNZE KISWAHILI-METHALI: Asiye na kitoweo humangiria
Hii leo katika kujifunza lugha ya kiswahili, Josephat Gitonga Mhadhiri wa Chuo Kikuu Nairobi nchini Kenya katika Kitivo cha Ukalimani anafafanua maana ya methali, Asiye na kitoweo hurumangia.
Hii leo katika kujifunza lugha ya kiswahili, Josephat Gitonga Mhadhiri wa Chuo Kikuu Nairobi nchini Kenya katika Kitivo cha Ukalimani anafafanua maana ya methali, Asiye na kitoweo hurumangia.
Katika kujifunza lugha ya Kiswahili hii leo, Dkt. Mwanahija Ali Juma ambaye ni Katibu Mtendaji wa Baraza la Kiswahili Zanzibar, BAKIZA anafafanua maana ya methali Ndugu chungu, jirani mkungu!
Katika kujifunza Kiswahili, mchambuzi wetu Josephat Gitonga, kutoka Kenya ambaye ni mhadhiri katika Chuo Kikuu cha Nairobi kwenye kitivo cha tafsiri na ukalimani anatufafanulia methali "NYIMBO ZA KUFUNZWA HAZIKESHI NGOMA”
Je wafahamu maana ya methali hiari yashinda utumwa? Kama la, hii leo mchambuzi wetu Onni Sigalla, Mhariri Mwandamizi Baraza la Kiswahili la Taifa nchini Tanzania, BAKITA anafafanua maana yake.