METHALI: Hata ugali kiporo huchoma
Na leo katika kujifunza Kiswahili, mchambuzi wetu Josephat Gitonga, kutoka Kenya ambaye ni mhadhiri katika Chuo Kikuu cha Nairobi kwenye kitivo cha tafsiri na ukalimani anatufafanulia methali "HATA UGALI KIPORO HUCHOMA."