Jifunze Kiswahili- Shairi: Imekuwaje?
Hii leo kwenye Neno la Wiki tunasikiliza shairi kutoka kwake mwanariwaya na mwanachama wa Chama cha Kiswahili cha Kitaifa nchini Kenya, CHAKITA, Ken Walibora akighani shairi lake, Imekuwaje? Karibu!
Hii leo kwenye Neno la Wiki tunasikiliza shairi kutoka kwake mwanariwaya na mwanachama wa Chama cha Kiswahili cha Kitaifa nchini Kenya, CHAKITA, Ken Walibora akighani shairi lake, Imekuwaje? Karibu!
Sasa tunakwenda kwa mtaalam wetu wa kiswahili juma hili ambaye ni Mwanahija Ali Juma katibu mtendaji wa Baraza la Kiswahili Zanzibar , BAKIZA anafafanua msemo usemao "Kufadhili mfadhili mbuzi binadamu atakuudhi".
Je wafahamu maana ya neno 'Kamsa?' Basi hii leo Mhariri Mwandamizi kutoka Baraza la Kiswahili la Taifa nchini Tanzania, BAKITA, Onni Sigalla anafafanua kwa kina akisema kuwa neno hilo maana yake ni king'ora maalum. Hebu msikilize kwa makini.
Na sasa ni muda wa kujifunza Kiswahili na leo mchambuzi wetu anatoka Baraza la Kiswahili la Taifa Tanzania , BAKITA ni muhariri mwandamizi Onni Sigalla anatufafanulia maana halisi ya neno "BAHARIA"
Mtaalam wetu wa kiswahili juma hili ambaye ni Mwanahija Ali Juma katibu mtendaji wa Baraza la Kiswahili Zanzibar, BAKIZA anafafanua msamiati MHARABU.
Leo katika kujifunza Kiswahili mchambuzi wetu kutoka Baraza la Kiswahili Tanzania , BAKITA Onni Sigalla Mhariri mwandamizi anafafanua maana ya neno "MSUTU"
Ken Walibora mwanariwaya na mwanachama wa chama cha Kiswahili cha kitaifa cha Kenya anaichambua methali isemayo 'Daraja ukilibomoa ujue kuogelea'
Leo katika Neno la Wiki tunakwenda kwa mtaalam wetu wa kiswahili juma hili ambaye ni Mwanahija Ali Juma katibu mtendaji wa Baraza la Kiswahili Zanzibar , BAKIZA anafafanua matumizi ya neno “WAME” katika sentensi yenye nomino mbili.
Mchambuzi wetu kutoka Baraza la Kiswahili Tanzania , BAKITA ni Onni Sigalla Mhariri mwandamizi anafafanua maana ya neno "MSUMBI"
Na leo katika neno la wiki inaelezewa sentensi ambayo imejadiliwa sana kwenye mitandao ya kijamii na kwingine isemayo, baba alimpiga binti yake kwa kuwa alilewa.
Mchambuzi wetu Ken Walibora, mwanariwaya na mwanachama wa Chama Cha Kiswahili cha Kitaifa nchini Kenya, CHAKITA anaelezea sentensi baba alimpiga binti yake kwa kuwa alilewa.