Neno la Wiki - Mlugaluga
Na sasa ni neno la wiki ambapo leo mchambuzi wetu ni Onni Sigalla, Mhariri Mwandamizi kutoka Baraza la Kiswahili Tanzania, BAKITA akichambua neno "Mlugaluga".
Na sasa ni neno la wiki ambapo leo mchambuzi wetu ni Onni Sigalla, Mhariri Mwandamizi kutoka Baraza la Kiswahili Tanzania, BAKITA akichambua neno "Mlugaluga".
Neno la Wiki hii leo mtaalam wetu mhariri mwandamizi wa Baraza la Kiswahili la Taifa nchini Tanzania BAKITA Onni Sigalla anachambua maana ya neno “HARAMIA”
Hii leo katika Neno la Wiki, mchambuzi wetu Onni Sigalla, Mhariri Mwandamizi kutoka Baraza la Kiswahili la Taifa Tanzania, BAKITA anafafanua maana ya neno RIKISHA. Anasema kwamba watu wanalitumia wakimaanisha kile kitenzi cha kiingereza, "to leak" lakini kwa kiswahili lina maana tofauti. Je ni maana ipi hiyo? fuatana naye.
Hii leo Ijumaa katika Neno la Wiki, Bi. Mwanahija Ali Juma ambaye ni Katibu Mtendaji wa Baraza la Kiswahili Zanzibar, nchini Tanzania, BAKIZA anafafanua maana ya neno, 'Radhi'. Katika maelezo yake kuna maana zaidi ya moja, ikiwemo pale linapotumika kwenye sentensi mathalani, 'fulani kamwaga radhi!' Karibu.
Katika Neno la Wiki hii leo tunamulika neno Ulaiti na mchambuzi wetu ni Onni Sigalla Mhariri Mwandamizi kutoka Baraza la Kiswahili la Taifa nchini Tanzania, BAKITA. Na katika uchambuzi wake anasema neno hili linamaanisha aina fulani ya kitambaa. Fuatana naye kufahamu zaidi.