Neno la Wiki- Azizi na Hiba
Wiki hii katika neno la wiki tutasikia kutoka kwa mchambuzi wetu wa kiswahili juma hili ni Mwanahija Ali Juma katibu mtendaji wa Baraza la Kiswahili Zanzibar , BAKIZA anafafanua maana ya maneno “AZIZI NA HIBA”

Leo Aprili 12, 2019 katika kujifunza kiswahili katika neno la wiki mchambuzi wetu juma hili ni mhariri mwandamizi wa Baraza la Kiswahili Tanzania , BAKITA Onni Sigalla anachambua maana za neno “BARAWAJI”
Hii leo katika NENO LA WIKI, Mwenyekiti wa idara za Kiswahili katika vyuo vikuu Afrika Mashariki Aida Mutenyo anatufafanulia majina mbalimbali ya wanadamu wanaposafirisha mizigo kwa kutembea.