Nafasi yangu kama mama, mwanamke na mke wa Rais imenisukuma kuisaidia jamii yangu: Mariam Mwinyi
Wakati macho . masikio na nguvu za dunia zikielekezwa katika utimizaji wa malengo ya maendeleo endelevu SDG’s yanayofikia ukomo mwaka 2030, kila nchi inafanya jitihada za hali na mali kuhakikisha jamii inafikia malengo hayo.