Mashirika ya UN yahaha kuwasaidia waathirika wa mizozo na ukame Baidoa Somalia
Shirika la Umoja wa Mataifa la Afya Duniani, WHO linasema idadi ya milipuko ya magonjwa iliyoripotiwa na pia dharura za kiafya zinazohusiana na tabianchi katika Ukanda wa Pembe ya Afrika zimefikia kiwango cha juu zaidi kuwahi kutokea karne hii, na hivyo kuzidisha janga la kiafya katika eneo