Kituo cha Seruka huko Burundi chapaza sauti kulinda haki za wanawake na watoto
Utekelezaji wa vitendo dhalili dhidi ya wanawake na watoto wa kike unaendelea kupigiwa kelele kila uchwao na kwa kutumia mbinu mbali mbali kwa kuwa jamii zinazotekeleza vitendo hivyo nazo huibuka na mbinu mpya kila wakati ili kuweza kuendelea kukiuka haki za binadamu za wanawake na watoto wa kike