UNMISS yatoa mafunzo ya lugha ya kiingereza kwa polisi wa kike
Dunia ikiwa imeadhimisha siku ya wanawake Machi Nane ambapo tumeshuhudia maadhimisho hayo yakifanyika kwa matukio mbalimbali ikiwemo matembezi na kadhalika, nchini Sudan Kusini,Ujumbe wa Umoja wa Mataifa nchini humo UNMISS, umetumia maadhimisho ya siku ya wanawake kwa kufundisha Kiingereza&