AMISOM yatoa mafunzo ya kijeshi Somalia
Vikosi vya muungano wa Afrika nchini Somalia AMISOM vimekuwa vikitoa misaada kadhaa ya kijeshi ikiwemo kusaidia katika ulinzi na usalama wa nchi hiyo ambayo imeshuhudia mizozo kwa miongo kadhaa.
Vikosi vya muungano wa Afrika nchini Somalia AMISOM vimekuwa vikitoa misaada kadhaa ya kijeshi ikiwemo kusaidia katika ulinzi na usalama wa nchi hiyo ambayo imeshuhudia mizozo kwa miongo kadhaa.
NchiniYemen, shirika la kimataifa la uhamiaji, IOM linaendelea kutoa ombi la kupata dola Milioni Tano kwa ajili ya kusaidia wakimbizi waEthiopianaSomaliawaliokwama nchini humo baada ya kushindwa kuendelea na safari zao za ughaibuni.
Shirika la kimataifa la uhamiaji, IOM nchini Djibouti limetoa ombi la dharura la dola Milioni Tano kwa ajili ya kuokoa maisha ya wahamiaji wa Ethiopia na Somaliawalio kwenye mazingira magumu nchini humo baada ya kushindwa kuendelea na safari ya ughaibuni.
Ni hivi karibuni tu shirika la afya duniani WHO lilitoa ripoti inayoonesha kuwa ni mataifa 28 pekee yenye asilimia 7 ya watu wote duniani yana sheria madhubuti za usalama barabarani kwenye maeneo makuu matano ambayo ni kunywa pombe na kuendesha gari, mwendo kasi kupindukia, matumizi y
Mapigano yanayoendelea nchini Mali yamesababisha zaidi ya wakazi 270,000 wa nchi hiyo iliyoko Magharibi mwa Afrika kukimbilia nchi jirani kutafuta hifadhi. Hata hivyo wakiwa njiani wanakumbana na kadhia mbalimbali na watoto wa wanawake huathirika zaidi.
Mapigano mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo DRC pamoja na mambo mengine yametajwa kukwamisha jitihada za kukabiliana na hatimaye kudhibiti ugonjwa wa surua hususani mongoni mwa watoto.Hii inatokana na kwamba mapigano kati ya jeshi la serikali na waasi yamesababisha watu kukimbia makaz
Shirika la afya duniani WHO limetoa ripoti mpya inayoonyesha kuwa ni mataifa 28 tu yenye asilimia saba ya watu wote duniani ambayo yana sheria madhubuti za usalama barabarani kwenye maeneo makuu matano ambayo ni muhimu katika kupunguza ajali za barabarani.
Huduma ya afya ya msingi ni jambo muhimu kwa jamii ili waweze kushiriki shughuli za maendeleo.
Kongo DRC ni nchi ya pili kwa ukubwa barani Afrika yenye rasilimali nyingi, ikiwemo madini na uoto wa asili.
Suala la haki miliki linaelezwa kuwa bado linaendelea kuzua utata na kukwamisha matumizi stahili ambayo yanaweza kusaidia nchi kujikwamua kiuchumi.