Zaidi ya wakimbizi 60,000 wa Burundi warejea nyumbani mwaka huu pekee
Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi, UNHCR limesema wakimbizi 343 wa Burundi waliokuwa wanaishi nchini Uganda wamerejea nyumbani jana Jumatatu na hivyo kufanya idadi ya warundi waliorejea nyumbani mwaka huu pekee kuwa zaidi ya 60,000.