Neno la Wiki- Kucha Mungu si kilemba cheupe
Katika Neno la wiki la leo Mchambuzi wetu Ken Walibora, mwanariwaya na mwanachama wa Chama Cha Kiswahili cha Kitaifa nchini Kenya anafafanua methali isemayo 'Kucha Mungu si kilemba cheupe'
Katika Neno la wiki la leo Mchambuzi wetu Ken Walibora, mwanariwaya na mwanachama wa Chama Cha Kiswahili cha Kitaifa nchini Kenya anafafanua methali isemayo 'Kucha Mungu si kilemba cheupe'
Katika neno la wiki ambapo leo Ijuma 28-09-2018 ,mchambuzi wetu ni Bi. Mwanahija Ali Juma, Katibu Mtendaji wa Baraza la Kiswahili Zanzibar, BAKIZA anachambua neno Muhanga.
Katika Neno la wiki la leo Ijumaa 21-09-2018 Mchambuzi wetu Ken Walibora, mwanariwaya na mwanachama wa Chama Cha Kiswahili cha Kitaifa nchini Kenya anafafanua methali isemayo 'Kozi halei kuku wa wana' .
Katika Neno la wiki la leo Ijumaa 14-09-2018 Onn Sigalla kutoka baraza la Kiswahili Tanzania BAKITA , anachambua neno Kobe.
Mchambuzi wetu Ken Walibora, mwanariwaya na mwanachama wa Chama Cha Kiswahili cha Kitaifa nchini Kenya anafafanua methali isemayo Uliza usiogope, kuuliza si ujinga
Katika Neno la wiki la leo Ijumaa 17-08-2018 Onn Sigalla kutoka baraza la Kiswahili Tanzania BAKITA , anachambua neno Ukoo.
Mchambuzi wetu Ken Walibora, mwanariwaya na mwanachama wa Chama Cha Kiswahili cha Kitaifa nchini Kenya anafafanua methali isemayo Kutoa ni moyo usambe ni utajiri.
Katika Neno la wiki la leo Ijumaa 17-08-2018 Onn Sigalla kutoka baraza la Kiswahili Tanzania BAKITA , anachambua neno Shinda.
Katika Neno la wiki tuko nae Ken Waibora, mwana riwaya na mwanachama wa chama cha kiswahili cha kitaifa Kenya ,CHAKITA akichambua methali, Kitanda usichokillia hujui kunguni wake.
Katika neno la wiki hii leo, mchambuzi wetu Onni Sigalla ambaye ni Mhariri Mwandamizi wa Baraza la Kiswahili la Taifa nchini Tanzania, BAKITA, anachambua neno Ngamia. Anasema neno hilo lina zaidi ya neno moja ila maana moja tu ndio inajulikana.