Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Neno La Wiki

UN News Kiswahili

Neno la wiki- Ngamia na Onni Sigalla

Katika neno la wiki hii leo, mchambuzi wetu Onni Sigalla ambaye ni Mhariri Mwandamizi wa Baraza la Kiswahili la Taifa nchini Tanzania, BAKITA, anachambua neno Ngamia. Anasema  neno hilo lina zaidi ya neno moja ila maana moja tu ndio inajulikana.

Sauti
51"