17 MEI 2024 17 Mei 2024 Jarida la Habari Facebook Twitter Hii leo jaridani tunaangazia ripoti ya usugu dhidi ya viuavijiumbe maradhi au antibiotics, na hali ya kibinadamu nchini Ukraine. Makala tunasalia hapa hapa makao makuu ya Umoja wa Mataifa na mashinani tunaelekea nchini Afghanistan, kulikoni?
16 MEI 2024 16 Mei 2024 Jarida la Habari Facebook Twitter Hii leo jaridani tunakuletea mada kwa kina inayotupeleka nchini Bahrain kwenye mji mkuu Manama, ambako wajasiriamali wamekusanyika kwa lengo la kutumia ugunduzi na ujasirimali kusongesha SDGs. Pia tunakuletea muhtasariwa habari kutoka ICJ, WHO na huko huko Bahrain, pamoja na uchambuzi wa neno “HIZAYA.”
15 MEI 2024 15 Mei 2024 Jarida la Habari Facebook Twitter Hii leo jaridani tunaangazia machafuko Gaza, na ziara za Mwakilishi Maalum wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa nchini Somalia Catriona Laing. Makala tunakupeleka mjini Manama huko Bahrain na mashinani nchini Kenya, kulikoni?
14 MEI 2024 14 Mei 2024 Jarida la Habari Facebook Twitter Hii leo jaridani tunakuletea mada kwa kina ambayo inamulika ugunduzi na ukuaji uchumi. Shirika la Umoja wa Mataifa la maendeleo ya viwanda, UNIDO ni sehemu ya wawezeshaji wa jukwaa la WEIF 2024 na mwakilishi wake amezungumza na mwenyeji wetu huko Manama Bahrain Assumpta Massoi. Pia tunakuletea muhtasari wa habari na mashinani.
13 MEI 2024 13 Mei 2024 Jarida la Habari Facebook Twitter Hii leo jaridani tunaangazia mashambulizi makali yanayoendelea nchini Sudan, na huduma za afya uzazi Kalobeyei nchini Kenya. Makala inatupeleka Bahrain ambako Jukwaa la kimataifa la uwekezaji kwa wajasiriamali WEIF 2024 linaanza Manama hapo kesho Jumanne, na mashinani tunasikiliza simulizi ya mkimbizi wa ndani nchini DRC.
10 MEI 2024 10 Mei 2024 Jarida la Habari Facebook Twitter Hii leo jaridani tunaangazia Mkutano wa Umoja wa Mataifa wa asasi za kiraia (UNCSC) unaofunga pazia leo, ambapo Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ametoa hotuba yake kwa waandishi wa habari, na tutasikia ujumbe wa washiriki wengine.
09 MEI 2024 9 Mei 2024 Jarida la Habari Facebook Twitter Hii leo jaridani tunakuletea mada kwa kina ambayo inamulika kazi za Zahra Salehe na timu yake ya ICCAO nchini Tanzania katika kusongesha Malengo ya Umoja wa Mataifa ya Maendeleo Endelevu, SDGs. Pia tunakuletea muhtasari wa habari kuhusu Gaza na asasi za kiraia Nairobi Kenya, pamoja na uchambuzi wa neno la wiki.
08 MEI 2024 8 Mei 2024 Jarida la Habari Facebook Twitter Hii leo jaridani tunaangazia mafuriko huko Afrika Mashariki na Pembe ya Afrika, na wakimbizi wanaorejea nchini Sudan Kusini kutoka Sudan. Makala tunasalia hapa makao makuu na mashinani tunakupeleka nchini DRC, kulikoni?
07 MEI 2024 7 Mei 2024 Jarida la Habari Facebook Twitter Hii leo jaridani tunakuletea mada kwa kina inayotupeleka nchini Kenya ambako Umoja wa mataifa uko mstari wa mbele kuwapa msaada wakenya wanaotatizika kutokana na mafuriko. Pia tunakuletea muhtasari wa habari kuhusu Gaza, Uhamiaji na misitu. Mashinani inatupeleka nchi Haiti, kulikoni?
06 MEI 2024 6 Mei 2024 Jarida la Habari Facebook Twitter Hii leo jaridani tunaangazia hali ya usalama huko Rafah kusini mwa ukanda wa Gaza, na mafuriko nchini Kenya huku mashirika wakihaha kusaidia waathirika. Makala tunasalia na mada hiyo ya mafuriko Afrika mashariki na mashinani tunakupeleka nchini Sudan, kulikoni?