12 JANUARI 2024
Hii leo jaridani tunaangazia kesi mbele ya mahakama ya Umoja wa Mataifa ya kimataifa ya haki ICJ inayotaka Israeli kukomesha mauaji ya raia huko Gaza, na haki za wanawake za unyonyeshaji. Makala tunakupeleka nchini Ukraine na mashinani nchini Kenya, kulikoni?