Yemen: Wakunga ni matumaini kwa wajawazito na watoto wachanga licha mzozo na janga la tabianchi
Mona alipoanza kufanya kazi ya ukunga katika kituo cha afya mtaani anapoishi miaka 30 iliyopita, alikuwa wa kwanza katika jimbo la Hadramout nchini Yemen.