Jifunze Lugha ya Kiswahili: MANYEZI
Katika kujifunza Kiswahili, leo tukipata ufafanuzi wa neno "MANYEZI" kutoka kwa mtaalam wetu Onni Sigalla, Mhariri mwandamizi wa Baraza la Kiswahili la Taifa nchini Tanzania, BAKITA, karibu!
Katika kujifunza Kiswahili, leo tukipata ufafanuzi wa neno "MANYEZI" kutoka kwa mtaalam wetu Onni Sigalla, Mhariri mwandamizi wa Baraza la Kiswahili la Taifa nchini Tanzania, BAKITA, karibu!
Katika kujifunza Kiswahili, leo tunafafanuliwa maana ya msemo "KAUKA NIKUVAE SANDUKU MSUMARI" na mchambuzi wetu ni Onni Sigalla Mhariri mwandamizi wa Baraza la Kiswahili la Taifa nchini Tanzania, BAKITA. Karibu!
Katika kujifunza Lugha ya Kiswahili leo Onni Sigalla, Mhariri Mwandamizi kutoka Baraza la Kiswahili la Taifa Tanzania, BAKITA anafafanua neno MBWANDA.
Leo katika kujifunza Kiswahili tunapata ufafanuszi wa neno "SAKARANI" na mtaalam wetu ni Onni Sigalla Mhariri mwandamizi wa Baraza la Kiswahili la Taifa nchini Tanzania, BAKITA.
Katika jifunze Kiswahili hii leo mtaalam wetu Onni Sigalla Mhariri mwandamizi wa Baraza la Kiswahili la Taifa, BAKIZA nchini Tanzania, anatufafanulia maana ya msemo "KUFANYA AJIZI", karibu!
Na leo Katika jifunze Kiswahili tuko Baraza la Kiswahili la ZANZIBAR nchini Tanzania ambapo hii leo Dkt. Mwanahija Ally Juma, Katibu Mtendaji wa Baraza la Kiswahili Zanzibar, BAKIZA anafafanua msemo “sikio halilali njaa.”
Leo katika kujifunza lugha ya Kiswahili tunakwenda visiwani Zanzibar huko Tanzania ambapo Katibu Mtendaji wa Baraza la Kiswahili la Taifa, Zanzibar, BAKIZA Dkt. Mwanahija Ali Juma anafafanua msemo TABIA NI NGOZI, karibu!
Leo katika kujifunza lugha ya Kiswahili tunakupeleka Baraza la Kiswahili la Taifa, Zanzibar, BAKIZA kwake Katibu Mtendaji Dkt. Mwanahija Ali Juma akifafanua methali “ACHEKAYE KOVU HAJAONA JERAHA.”
Katika kujifunza Kiswahili, leo mtaalam wetu Onni Sigalla Mhariri mwandamizi wa Baraza la Kiswahili la Taifa nchini Tanzania, anatufafanulia maana ya msemo "FUNGA FUNGANYA", karibu!
Katika kujifunza Kiswahili mtaalam wetu Onni Sigalla, Mhariri mwandamizi wa Baraza la Kiswahili la Taifa nchini Tanzania , anatufafanulia maana ya msemo "FANYA ILHAM". Karibu!