Methali: “Mjinga akierevuka, mwerevu yupo mashakani.”
Katika kujifunza lugha ya Kiswahili hii leo Dkt. Mwanahija Ali Juma, Katibu Mkuu wa Baraza la Kiswahili, Zanzibar nchini Tanzania, BAKIZA anachambua methali “Mjinga akierevuka, mwerevu yupo mashakani.”