Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Methali: "Mwenye kelele hana maneno"

Methali: "Mwenye kelele hana maneno"

Pakua

Katika kujifunza lugha ya Kiswahili na hii leo Dkt Mwanahija Ali Juma, Katibu Mkuu wa Baraza la Kiswahili, Zanzibar nchini Tanzania, BAKIZA anachambua methali MWENYE KELELE HANA MANENO

Audio Credit
Dkt. Mwanahija Ally Juma
Audio Duration
43"
Photo Credit
Habari za UN