Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Kabrasha la Sauti

UN Tanzania

Tenda wema nenda zako, msichana Aneth ambaye kitendo chake kimeendelea kuwasaidia wanafunzi viziwi, Chuo Kikuu cha Dare es Salaam

Katika mahojiano kati ya Ahimidiwe Olotu wa Kituo cha Habari cha Umoja wa Mataifa na Aneth Gerana Isaya, msichana kiziwi ambaye ushauri wake alioutoa alipojiunga katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, umeendelea kuwasaidia viziwi wote wanaojiunga kwa masomo katika Chuo hicho kikongwev cha elimu ya

Sauti
6'51"
UN Photo/Albert Gonzalez Farran

Mafunzo kwa wanakijijji Darfur kuhusu haki za binadamu ni hali ya mgeni njoo mwenyeji apone

Ikiwa leo ni siku ya haki za binadamu duniani ambayo huadhimishwa kila mwaka Desemba 10, huko Khor Abeche kwenye jimbo la Darfur nchini Sudan, polisi wa Umoja wa Mataifa, UNPOL kwenye ujumbe wa pamoja wa Umoja huo na Muungano wa Afrika (UNAMID) wametamatisha kampeni ya siku 16 ya kupinga ukatili

Sauti
2'18"