COVID-19 yazidisha changamoto za chakula Uganda
Njanga la virusi vya corona au COVID-19 limewaacha raia wengi nchini Uganda wakiwa na changamoto ya kipato hali ambayo
Njanga la virusi vya corona au COVID-19 limewaacha raia wengi nchini Uganda wakiwa na changamoto ya kipato hali ambayo
Watoto nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC, hivi sasa licha ya kutokwenda shuleni kutokana na janga la ugonjwa wa virusi vya Corona, COVID-19, wanatumia muda huo kusoma nyumbani, kusaidia kazi sambamba na kuelimisha jamii ili ijikinge na virusi hivyo.
Huyo ni mmoja wa madaktari kambini Kakuma Dkt. Jesse Wambugu akisema anafanya kazi kama afisa msaidizi wa afya kwenye kambi hiyo inayohifadhi wakimbizi takribani 196,000.
Licha ya changamoto na kuhudumia wagonjwa wengi kila uchao Dkt. Wambugu nasema
Ikiwa leo ni miezi mitatu tangu shirika la afya la Umoja wa Mataifa, WHO, litangaze kuwa ugonjwa wa virusi vya Corona, au COVID-19 ni dharura ya kiafya ya kimataifa, shirika hilo limesema katu halijakata tamaa na halitokata tamaa katika kuhakikisha virusi hivyo vi
Hii leo katika Jarida la Habari kutoka Umoja wa Mataifa Flora Nducha anakuletea
-Miezi mitatu baada ya WHO kutangaza COVID-19 kuwa janga la kimataifa Shirika hilo linasema halitokata tamaa katika juhudi za kutokomeza janga hilo.
Tatizo la ajira kwa vijana nchini Tanzania limeendelea kuwa changamoto kwa vijana wengi, baadhi uhitimu elimu ya juu na vyuo vya kati huku wakiingia mtaani na kuisaka ajira kwa muda mrefu bila mafanikio.
Nchini Sudan Kusini, watoto waliokuwa wametumikishwa vitani na hatimaye kuachiliwa huru sasa wameanza kubadili maisha yao na ya wengine baada ya kupatiwa stadi za kujipatia kipato kwa msaada wa Umoja wa Mataifa na wadau wake.
Nchini Kenya matangazo ya shule kwa njia ya redio sasa yameanza katika kambi za wakimbizi ambapo walimu wanafundisha masomo kupitia redio za jamii ili wanafunzi waendelee na masomo hata wakati huu wa kusalia nyumbani kutokana na janga la ugonjwa wa virusi vya Corona au COVID-19.