Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Neno la Wiki- Abebwaye hujikaza

Neno la Wiki- Abebwaye hujikaza

Pakua

Leo katika kujifunza Kiswahili tutapata ufafanuzi wa methali "Abebwaye Hujikaza" na mchambuzi ni Josephat Gitonga, mhadhiri katika Chuo Kikuu cha Nairobi, kituo cha Utafsiri na Ukalimani.".

Audio Credit
Josephat Gitonga
Sauti
53"
Photo Credit
UN