Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Kabrasha la Sauti

28 Februari 2020

Hakuna mgonjwa mpya wa Ebola huko Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC katika siku 7 zilizopita, ni moja  ya habari muhimu hii leo kwenye muhtsasari wa habari na kisha ni mada kwa kina leo tukijikita huko wilayani Bukoba mkoa wa Kagera nchini Tanzania, mwandishi wa Radio washirika ya Kasiba

Sauti
9'41"

27 Februari 2020

Suala la matumizi ya bidhaa za uraibu kama vile pombe na madawa ya  kulevya miongoni mwa watoto ni kipaumbele cha ripoti mpya ya Bodi  ya udhibiti wa madawa ya kulevya duniani, ripoti ambayo imetolewa leo huko Vienna, Austria na ndio miongoni mwa taarifa zetu hii leo, bila kusahau apu m

Sauti
9'56"