Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Makala

© UNHCR/Victor Augusto Sánchez Mejía

Mkimbizi kutoka kusini mwa Amerika aongoza mapambano dhidi ya mabadiliko ya tabianchi Guatemala

Mkimbizi Joshua, alipoikimbia nchi yake, kusini mwa Amerika, alilazimika kuingia katika nchi jirani ya Guatemala kusaka hifadhi. Kupitia shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi, UNHCR akapata kuunganishwa na shirika lisilo la kiserikali ya FUNDAECO ambako sasa mkimbizi huyu amegeuka kuwa kinara wa kutetea mazingira. Anold Kayanda anasimulia zaidi kupitia makala hii iliyoratibiwa na UNHCR Guatemala.

Sauti
3'35"