Mkopo kwa wengine wawainua wakulima wadogo na kutoa ajira za kudumu
Mkopo uliotolewa na mfuko wa Umoja wa Mataifa wa maendeleo ya kilimo duniani IFAD nchini Misri umekuwa na manufaa makubwa kwa wakulima wadogo na kutengeneza maelfu ya ajira mpya hali iliyofanya mpaka Bodi tendaji ya IFAD kufunga safari mpaka nchini humo kujionea wenyewe.