UNMISS yawajengea uwezo wafanyabiashara nchini Sudan Kusini
Ushirikiano na ukuaji kiuchumi ni miongoni mwa masuala muhimu katika kuhakikisha nchi yoyote ina amani na wananchi wake wanapata Maendeleo.
Ushirikiano na ukuaji kiuchumi ni miongoni mwa masuala muhimu katika kuhakikisha nchi yoyote ina amani na wananchi wake wanapata Maendeleo.
Shirika la Umoja wa Mataifa la kazi duniani, ILO limetoa ripoti hii leo ikisema ukosefu wa ajira na ukosefu wa usawa vyote vitaendelea kuongezeka duniani kutokana na majanga lukuki yanayoingiliana ya kiuchumi na kisiasa na hivyo kutishia kukwamuka kwa soko la ajira duniani.
Leo ni siku ya miji duniani ambapo Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres ametaka wakazi wa sayari dunia watambue dhima muhimu ya maeneo ya mijini katika kufanikisha malengo ya maendeleo endelevu, SDGs. Thelma Mwadzaya na taarifa kamili.
Hii leo kwenye Habari za UN tunamulika miji na uendelevu, ukosefu wa fursa za ajira, Sudan Kusini na Tigray!
Tarehe 24 Oktoba dunia ilisherehekea siku ya Umoja wa Mataifa kwa kuadhimishwa miaka 77 tangu kuanzishwa kwake mwaka 1945.
Kamishna Mkuu wa shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi, UNHCR, Filippo Grandi ambaye amezuru Kenya ameshuhudia ni kwa kiasi gani miradi inayoIenga wakimbizi na wenyeji inasaidia sio tu kuinua vipato vya pande zote bali pia kujenga utangamano, maelewano na amani kwenye makazi ya wakim
Kamishna Mkuu wa Umoja wa Mataifa wa Haki za Kibinadamu Volker Türk ameipongeza serikali ya Kenya kwa kile alichoeleza ni hatua muhimu ya kuelekea uwajibikaji kwa ukiukaji mkubwa wa haki za binadamu nchini Kenya, kufuatia uamuzi wake wa wa kutumia Sheria ya Uhalifu wa Kimataifa
Hii leo katika Habari za UN Assumpta Massoi anamulika masuala ya haki, wakimbizi, maendeleo na afya.
Leo katika kujifunza lugha ya Kiswahili mtaalam wetu hii leo ni Dkt. Mwanahija Ali Juma, Katibu Mtendaji wa Baraza la Kiswahili Zanzibar, BAKIZA anachambua methali, Mchama ago Hanyele, huenda akawia papo.
Hii leo jaridani ni Mada kwa Kina na tunakuunganisha moja kwa moja na mwenzetu Flora Nducha aliyeko Kigali nchini Rwanda akimulika harakati za shirika la Umoja wa Mataifa la afya ulimwenguni, WHO, za kuhakikisha taifa hilo la Afrika Mashariki linatekeleza kwa ufanisi lengo namba 3 la malengo ya m