Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Kabrasha la Sauti

CDC/Alissa Eckert, James Archer

Magonjwa ya zinaa kama vile kisonono umeonesha ukinzani kwa dawa ya kumeza: WHO

Utafiti mpya wa kisayansi uliofanyika kwa muda wa miaka sita umebaini kuna viwango vya juu vya usugu wa dawa dhidi ya vimelea au bakteria vinavyosababisha maambukizi kwenye mfumo wa damu yanayoweza kuhatarisha halikadhalika ongezeko la usugu wa tiba dhidi ya vimelea vinavyosababisha magonjwa yali

Sauti
3'10"
© UNICEF/Mulugaeta Ayene

Jamii katika maeneo ya kusini na kaskazini mashariki mwa Ethiopia bado wanateseka na ukame mbaya zaidi: UNICEF Ethiopia

Waziri wa Mambo ya Nje wa Uingereza, James Cleverly akiambatana na Mwakilishi wa shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto UNICEF Ethiopia, Gianfranco Rotigliano wametembelea eneo la Afar, nchini Ethiopia kujionea athari za ukame kwa watoto na familia na kutathimini hatua za dharura zizazoc

Sauti
2'12"

08 DESEMBA 2022

Hii leo jaridani tunaangazia mada kwa kina tukimulika harakati za utalii endelevu Tanzania sambamba na umuhimu wa mnepo katika kujikwamua kiuchumi majanga yanapotekea. Pia tunakuletea habari kwa ufupi zikiwemo ripoti kuhusu malaria, mkutano wa COP 15 na usafirishaji haramu wa binadamu.

Sauti
13'19"
©UNICEF/Benekire

Mama akutanishwa na watoto wake baada ya kutenganishwa kufuatia mashambulizi: UNICEF/CAJED

Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto, UNICEF nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC kwa kushirikiana na wadau wake kama shirika lisilo la kiserikali la CAJED (CONCERT D’ACTIONS POUR JEUNES ET ENFANTS DÉFAVORISÉS), wanaendelea na huduma kadhaa muhimu za ulinzi kwa watoto ambazo ni

Sauti
2'32"
© UNHCR/Charlotte Hallqvist

Mapigano Upper Nile yasababisha wakimbizi wengi wahame makwao nchini Sudan Kusini.

Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi UNHCR limesema limesikitishwa na kuongezeka kwa mapigano katika jimbo la Upper Nile nchini Sudan Kusini ambayo umesababisha takriban watu 20,000 kuyahama makazi yao tangu mwezi Agosti, baadhi yao wakilazimika kukimbia hadi mara nne ili kuokoa mai

Sauti
2'57"

06 DESEMBA 2022

Hii leo jaridani tunakuletea mada kwa kina na tukiwa tungali katika siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia kwa wanawake na wasichana duniani, tunamulika wale wanaowapokea manusura wa ukatili wa kijinsia nchini Kenya. Pia tunakuletea habari kwa ufupi na mashinani kutoka Uganda.

Sauti
12'13"