Prof. Chris Maina Peter na Tume ya kimataifa ya sheria ya UN
Tume ya sheria ya kimataifa ya Umoja wa Mataifa mwaka huu wa 2018 imetimiza miaka 70 tangu iasisiwe. Tume hii Imefanya mengi katika kusongesha masuala ya kisheria.