Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Neno La Wiki

UN

Neno la wiki-UZINZAJI

Katika kujifunza Kiswahili , leo tunapata ufafanuzi wa neno"UZINZAJI" na mchambuzi wetu ni   Onni Sigalla Mhariri mwandamizi wa Baraza la Kiswahili la Taifa  nchini Tanzania , BAKITA. 

Sauti
49"
UN

Neno la Wiki-Sisisi

Leo katika neno la wiki tuungane na mhariri mwandamiziwa Baraza la Kiswahili, la taifa Tanzania BAKITA, Onni Sigalla katika kujifunza Kiswahili akitufafanulia maana za Neno"SISISI".

Sauti
1'3"